Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Changanya na tangawizi kidogo. Ukiona vipi unaweka na ka limao kwa mbali.
Mm huwa na blend tangawizi na kutunguu swaum kisha nakamulia limao kidogo ndio naweza tumia bila shida.
Ila kitunguu swaumu pekee siwezi kbs.
Na wewe unatumia kitunguu swaumu?!! Kwenye utafiti wa Ester upande wenu haujatajwa kabisa kuwa wanufaika. Tumia kitunguu maji kwa kukichemshia kwenye supu, sawa mama?

#Mrejeshoubakinao
 
Mi ninekumbuka rungwe express tu kwa vile nilishawahi panda[emoji12]
Vile ulikuwa unakuja Tukuyu [emoji1][emoji1][emoji1]

Kwenye harakati za huyu mzee ulikuwa hauja zaliwa. Alikuwa mbunge pamoja na marehemu Chogo wa Iringa walimsubua sana Nyerere.
Alikuwa mwalimu kabla ya uhuru then akaja kusomea Ushirika baada ya uhuru huko Israel.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] kumbe, hlf mm kila nikiyaona hayo magari basi nilikuwa najua ni ya Hashim rungwe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Vile ulikuwa unakuja Tukuyu [emoji1][emoji1][emoji1]

Kwenye harakati za huyu mzee ulikuwa hauja zaliwa. Alikuwa mbunge pamoja na marehemu Chogo wa Iringa walimsubua sana Nyerere.
Alikuwa mwalimu kabla ya uhuru then akaja kusomea Ushirika baada ya uhuru huko Israel.
 
109241925_658407268085035_5885575408452951_n.jpg
 
Back
Top Bottom