Tayta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 310
- 576
Haha sina hata hiyo land
Anaharibu kitu gani mkuu?Hiv huyu mzee uwa anafanya business gan? Maana naona uwa ana ela zq kuharibu
Maziwa fresh yanakata harufu. Vitumie tu kwa afya yako mkuuVitunguu saumu vimenishinda.
Harufu yake siiwezi jamani.
[emoji23][emoji23]Asante kwa michango yao ya kununua form. Wakome wajue jimbo lina mwenyewe
Wanachapa tuArsenal angalau wanekuwa na furaha wiki hii
Jioni ya likesMchana wa kula..
Kiazi cha wapi hicho[emoji23][emoji23]Viazi vingibe hovyo kabisaView attachment 1511040
Duh....bei ya gari..Una kipi cha ziada kuwashinda wengine?View attachment 1511182
AminMungu atupe afya na uzima
OyeeeSimbaaaa......
Hahahahaha jaman😁 Hahaha utakuwa una pua ndefu sana Esta!
ShwariSalama kabisa, kwako je
Hawa wajinga wanawaza kujiuza tu hawaijui thamani ya mke wa ndoa, thamani ya mke wa ndoa haithaminishwi kwa mfumo wa pesa bali heshima, utii, kujali, upendo na uwajibikaji katika masuala ya kifamilia ndipo mwanaume anaanza kuzimwaga fedha kwa mke hadi ndugu wa mume wanaanza kuhisi ndugu yao kapewa limbwata.Una kipi cha ziada kuwashinda wengine?View attachment 1511182
Tena gari ya kukuletea hesabu jioni[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Duh....bei ya gari..
Kwahiyo nachanganya au nakula tofauti?Maziwa fresh yanakata harufu. Vitumie tu kwa afya yako mkuu
Kama una presha ya kushuka sio vizuri sana. Ukivitafuna yafaa maziwa ila kama utameza punje utakuwa umekwepana na harufu yake.Kwahiyo nachanganya au nakula tofauti?
Maana vitunguu Swaumu nikitafuna naweza kutapika kila kitu mkuu.
Labda nivimeze kama vidonge.
Huwa nafanya hivyo