moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Inaonekana tayari keshaongea na daddy. Kawaambia mashabiki wake wasiwe na wasiwasi...Zengwe linaanzia hapaView attachment 1512190
Daah choice zote hazikubaliki,baba mtu ataumiza watu wengi sana. Kijana hakubaliki kila konaWatakuwa wajinga wakifanya hivyo. Mi nahisi babake atamrudisha kwenye ukuu wa mkoa, ubunge wa kuteuliwa au atalamba ubalozi.