Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani urefu wa mstari na mstari uwe sentimita 30 na nafasi ya mche na mche iwe sentimita 8. Nafasi inaweza kutoafutiana kidogo kulingana na aina ya mbegu, lakini pia kulingana na ukubwa wa kitunguu unachotaka. Ukitaka vitunguu vikubwa, nafasi inaongezeka, yaani vinapandwa mbalimbali. Ukitaka vitunguu vidogo unapunguza nafasi, yaani unapanda karibukaribu.
 
MATUMIZI YA MBOLEAKUNDI LA KWANZA:

MBOLEA ZA KUPNADIA.
Hizi huwekwa kabla au mara tu ya kuhamishia miche shambani. Mbolea hizi zina lengo la kusaidia ukuaji mzuri wa mifumo ya mzizi (root systems) itakayosaidia mmea kufyonza virutubisho na maji kutoka ardhini.

Mbolea hizi zina kirutubisho kikuu cha Phosphorous, na huitwa mbolea za fosfeti (Phosphate Fertilizers), kundi hili lina mbolea kama MAP, TSP, DAP, Minjingu n.k
 
KUNDI LA PILI: MBOLEA ZA KUKUZIA:
Mbolea hizi huwekwa kipindi cha ukuaji wa mmea (vegetative growth) na hua na lengo la kuupa mmea ukuaji mzuri utakaopelekea kua na majani mazuri yatakayotengeneza chakula cha kutosha cha kwenye mmea.

Kitendo hichi cha mmea kutengeneza chakula chake huitwa Photosynthesis na hufanyikia kwenye majani. Kirutubisho kikuu katika kundi hili la mbolea ni Nitrogen (N). Baadhi ya mbolea zilizopo kwenye kundi hili ni pamoja na UREA, SA, CAN n.k.

Pia kwenye kundi hili zipo mbolea za maji zinazopigwa kwenye majani (foliar fertilizers) hujulikana pia kama booster.
 
Nadhani anajuta kunifahamu [emoji16][emoji16][emoji16]
2.3557393463902377E18.jpg
 
Enheee... huo huo..
Ngoja tufurahi kwanza hamna baya laweza kutokea katika hili...

Doktaaaa kafanya upasuaji... kawa TX
Katoa maradhi ya ndani...

Naddy nawe mkorofi wa chini chini eeeh!. Eti doktaa kafanya upasuaji...katoa maradhi ya ndani....vidokezo vya taarabu hivi....sijui kama ni mama Zuchu au mwingine...Kibwagizo chake kilikuwa [emoji443][emoji443]Daktari nipasue....

#Acha ukorofi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nilijua wahenga ndio wanaujua huo mwimbo😂😂
 
Lengo lake lilikuwa ni uwaziri. Bado vikao vya juu vinaweza kumpiga chini dokta na kumpitisha yeye. Kigwangala alishawahi kunyanyuliwa kwa njia hii...
Kuna ukweli hapa maana dokta katumbuliwa juzi juzi kisa corona. Ila akirudishwa wana ccm watapigia upinzani mfano kwa msingwa huko iringa alishinda kwa style hii. Kura za maon ccm alishinda mwakalabela vikao vya juu vikamchagua monica. Kura za hasira zikambeba msingwa wa chadrma
 
Watakuwa wajinga wakifanya hivyo. Mi nahisi babake atamrudisha kwenye ukuu wa mkoa, ubunge wa kuteuliwa au atalamba ubalozi.
 
Back
Top Bottom