Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bashite ategemee huruma za daddie wake [emoji1734][emoji1734][emoji1734]
2.3574556838904663E18.jpg
 
KUTAYARISHA SHAMBA
Lima shamba kwa trekta, kwa ng’ombe ama kwa jembe la mkono kwa kina cha sentimita 30 hadi 45 Weka matuta ya mwinuko yenye upana wa mita 1 hadi mita 1.5 kutoka kati kati ya tuta na tuta na upana wa mita 1 Lainisha udongo au kwa kitaalamu inaitwa Harrowing. Yaani yale mabonge makubwa makubwa ya udongo yanagongwa na kutengneza udongo mlaini. Harrow ifanyike wiki 2 au 3Â baada ya kulima.
 
Aisee... Hadi wewe Naddy?inabidi jamaa ajitathimi sana mwenendo wake kiujumla!
Ni mjinga. Hajui kuishi na watu. Huyu hata kama angekuwa na pesa za Jeff Bezos, Bill Gates na Warren Buffet combined angeendelea kudharaulika tu. Ajifunze kuishi na watu na kupunguza majigambo. Kama daddie wake atakuja kumwokoa basi CHADEMA waniandalie kadi yangu kabisa iwe tayari tayari [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Back
Top Bottom