Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa ekari moja mkulima hutumia kilo 6 hadi 10 za mbegu hizi ili kutosheleza. Kama mtaalamu wa kilimo simshauri mkulima anayetaka kulima kibiashara kutumia mbegu hizi za kienyeji kwa maana hata Mavuno yake hayatabiriki. Ila Sio kwamba mbegu zote zinazozalishwa na wakulima ni mbaya, hapana.
 
Upo utaratibu wa wakulima kuzalisha mbegu kitaalamu kwa kufuata utaratibu ulipo kisheria. Mbegu hizo zinazozalishwa na wakulima kitaalamu huitwa mbegu za daraja la kuazimiwa (quality declared seeds) au kwa kifupi huitwa QDS. Mbegu hizi za QDS zina mipaka yake ya eneo la kutumika.
 
Na wazalishaji wa QDS lazima wapate mafunzo na wasajiliwe na Taasisi ya Uthibiti Ubora wa Mbegu (Tanzania Official Seed Certification Institute) au kwa kifupi TOSCI. TOSCI pia wana utaratibu wa kufanya ukaguzi na kutoa kibali cha mbegu hizo za QDS kuuzwa kama zimekizi vigezo husika. Kama hazijakizi mbegu hizo haziruhusiwi kuuzwa kwa wakulima.
 
AINA YA PILI: MBEGU ZA KAWAIDA (OPEN POLLINATED VARIETIES) au kwa kifupi huitwa OPV. Mbegu hizi zimezalishwa kitaalamu kwa njia ya Uchavushaji ya wazi (Open Pollination). Mbegu hizi ndio zinazouzwa kwa wingi na makampuni ya mbegu. Bei yake ni kati ya 60,000 hadi 100,000 kwa kilo. Hii inategemeana na kampuni na aina ya mbegu. Mbegu hizi kwa ekari moja utatumia Kilo 3 hadi 4. Mfano wa mbegu za OPV ni: Bombay Red, Red Creole, Tajirika, Meru Super n.k.
 
Grandfather will save him. Na wote tuseme amen[emoji23][emoji23] poor wcb
yeeemeeeennnnn

babuuuuuuu
1595263617474.png
 
AINA YA TATU: MBEGU CHOTARA (HYBRID) Hizi ni aina ya mbegu zinazozalishwa kitaalamu sana kuliko hizo aina nyingine nilizozitaja hapo juu. Mbegu hizi hua na sifa za kipekee, kama vile kua na mavuno mengi, kuwa na ukinzani kwa baadhi ya magonjwa, kukomaa haraka n.k. Nyingine hutengenezwa kutokana na sifa maalumu zinazohitajika na walaji au soko, kama vile rangi, ukubwa (size), harufu, ladha n.k.
 
HALI YA HEWA NA UDONGO UFAAO KWA KILIMO CHA VITUNGUU

Zao la vitunguu hustawi vizuri kwenye maeneo yasiyo na mvua nyingi sana, yenye baridi kiasi wakati wa kiangazi na yasiyo na joto kali pamoja na ufukuto wa ukungu wakati wa kukomaa vitunguu.
 
Zao la vitunguu hustawi vizuri kwenye udongo wenye rutuba ya kutosha. Udongo unao ruhusu mizizi kupenya kirahisi, unao hifadhi unyevu kama vile udongo wa mfinyanzi tifutifu. Sehemu nyingi zinazostawi vitunguu maji hufaa pia kwa zao hili. Maeneo ya mwinuko wa kiasi cha zaidi ya mita 1000 juu ya usawa wa bahari hufaa zaidi.
 
wewe muhuni......juzi nilikuwa naangalia mpira kupitia televisheni ya ufaransa
half time niliona trailer ya series season 5.....
sifahamu lugha ya kifaransa ila hadithi yake inazungumzia maswala ya ugaidi (mashariki ya kati)

sijui legend (nimeshasahau)
Ha ha ha umenifanya nicheke kwanza mzee, ni juzi kati tu nilikuwa nmetulia home, nikawa sina cha kuangalia...
Katika pitapita zangu kwenye site za series review..nikakutana na mzigo unaitwa The Bureau..mzigo uko na season 5...
Nikashusha episode moja kwanza.. Mzigo uko vizuri sana...
Umejaa mambo ya ugaidi na vita vya mashariki ya kati, Syria

Inaitwa The Bureau!!
images (41).jpg
 
Ha ha ha umenifanya nicheke kwanza mzee, ni juzi kati tu nilikuwa nmetulia home, nikawa sina cha kuangalia...
Katika pitapita zangu kwenye site za series review..nikakutana na mzigo unaitwa The Bureau..mzigo uko na season 5...
Nikashusha episode moja kwanza.. Mzigo uko vizuri sana...
Umejaa mambo ya ugaidi na vita vya mashariki ya kati, Syria

Inaitwa The Bureau!!View attachment 1511961
ubarikiwe
 
Back
Top Bottom