Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni Gambo vs Lema Arusha Mjini. Sipati picha...
IMG-20200720-WA0034.jpg
 
Ni mjinga. Hajui kuishi na watu. Huyu hata kama angekuwa na pesa za Jeff Bezos, Bill Gates na Warren Buffet combined angeendelea kudharaulika tu. Ajifunze kuishi na watu na kupunguza majigambo. Kama daddie wake atakuja kumwokoa basi CHADEMA waniandalie kadi yangu kabisa iwe tayari tayari [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23] bro bhana, kwa hyo umeamua kubadili avatar kabsa, kumuenzi[emoji23][emoji23]

Ni kweli kabsa bro,jamaa kwa hali hii inayoendelea hivi ni funzo tosha.

Ila huyu ni hawezi kubadirika kamwe,sikio la kufa hili
 
Ana rafiki yake wa karibu pia ni rafiki yangu wa karibu. Wote wana mawazo sawa. Yaani ukienda kwake siku nzima mtakaa mnaongelea Land Cruiser yake jinsi ilivyo mtelezo, mara mashamba yake, mara nyumba yake...yaani ni fulu majivuno. Inaboa sana bro...
 
KUNDI LA PILI: MBOLEA ZA KUKUZIA:
Mbolea hizi huwekwa kipindi cha ukuaji wa mmea (vegetative growth) na hua na lengo la kuupa mmea ukuaji mzuri utakaopelekea kua na majani mazuri yatakayotengeneza chakula cha kutosha cha kwenye mmea.

Kitendo hichi cha mmea kutengeneza chakula chake huitwa Photosynthesis na hufanyikia kwenye majani. Kirutubisho kikuu katika kundi hili la mbolea ni Nitrogen (N). Baadhi ya mbolea zilizopo kwenye kundi hili ni pamoja na UREA, SA, CAN n.k.

Pia kwenye kundi hili zipo mbolea za maji zinazopigwa kwenye majani (foliar fertilizers) hujulikana pia kama booster.
Sawasawa
 
Back
Top Bottom