Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huyu mtoto unamjua kaka
Ndio kakaHuyu mtoto unamjua kaka
Kwa hiyo na wewe una umri sawa sawa na Hanta eeeh!? Gotcha [emoji16][emoji16][emoji16]Siasa ni mchezo wa ajabu sana, Hanta kawa maarufu kuliko Mwakyembe?
Hanta nimesoma nae darasa moja shule ya msingi, hakuwa muongeaji mzuri maana lugha ilimtatiza, alitokea upande wa pili.
Sikuwahi kusikia amejiendeleza kielimu...
Shangazi mvua zimeenda kidogo halafu akina Dae wanamwangalia tu. Alishawahi kuolewa/kuwa na mtoto huyu au kaamua kuwa hivyo tu?