Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo wavuta sigara barabaran, wakimbia majukum ya familia zao lazma wachukie
 
Kumbe wanaume wa dar mna shida hvyo? Bora sisi wa mikoani ukinishikisha siku ya kujifungua unaenda kujifungulia home kwetu ukitoka hospital unakuta bibi, shangazi na mama wadogo wanakusubiri hom ukiingia tu wanakuomba mtoto wamuone . Mbona hapo haina aja ya DNA.
 
Duuu, siasa hizi, siyo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…