Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1 Aliwanyima nafasi kivipi?
2 kwanini wanaume watelekeze watoto?
3 Kwani kuhusu sigara ni uwongo?
4 Ushahidi uko wapi wa kuongea mambo yasiyojulikana bar?
5 Kwani ni Jambo baya walimu kusafiri bure?
6 Aliingia majukumu ya wanasiasa kivipi?
Kwani ni wanasiasa wote wanapendana?
7Aliporaje majukumu ya tamisemi ? Kwani ni uongo kwamba yupo juu?
4. Sina ushahidi.
Usitake kuleta mambo ya mahakamani.
Ushahidi wewe ni hakimu
 
1 Aliwanyima nafasi kivipi?
2 kwanini wanaume watelekeze watoto?
3 Kwani kuhusu sigara ni uwongo?
4 Ushahidi uko wapi wa kuongea mambo yasiyojulikana bar?
5 Kwani ni Jambo baya walimu kusafiri bure?
6 Aliingia majukumu ya wanasiasa kivipi?
Kwani ni wanasiasa wote wanapendana?
7Aliporaje majukumu ya tamisemi ? Kwani ni uongo kwamba yupo juu?
2. Kutelekezwa kunategemea mambo mengi.
Mwanamke anakupa mimba kwakuwa ulimgonga siku moja, lakini baada kukubali mimba hiyo anakuja kukuambia mimba hii siyo yako.
Hii ni mimba ya mzee wa Kyela, unajiweka pembeni, kesho akisikia shimo lako linatema madini anakuja na stori ati "huyu ni mwanao kabisa".
Haya mambo hayahitaji nguvu kuyaamua.
Vinginevyo yapelelkwe kwenye vyombo vya sheria
 
Hayo ni malipo ya uzinzi.
Ukiwa mzinzi kubali kwa yote,sioni kama hilo ni tatizo la Makonda.
 
Juzi nimetoka Tandika narudi zangu home kupitia Buza, ile nakatisha kona pale kwa Lulenge nilimuona jini kisirani kivuruge anacheza ngoma, nikacheka sanaaa... Ile nakatiza Vingunguti pale darajani Kijana Mpole huyu hapa na biashara yake ya supu [emoji1][emoji1][emoji1]
Hawa vijana wawili nimewaona kwa masikio yangu kabisaaa
Nina wasiwasi na Kivuruge. Alikuwa mbele kabisa katika uwanja wa mapambano. Natumaini hajambo. Kijana mpole naye sijui kakwama wapi.
tapatalk_1566379965655.gif
 
Back
Top Bottom