Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Allahuma ameenAstaghafilullah.
Mwenyezi tuepushe na mapenzi ya jinsia moja
Allahuma ameenAstaghafilullah.
Mwenyezi tuepushe na mapenzi ya jinsia moja
Huyu mshindi ndugu Ali Mlagila Jumbe ni mwenyeji hapo Kyela au ...?Siasa ni mchezo wa ajabu sana, Hanta kawa maarufu kuliko Mwakyembe?
Hanta nimesoma nae darasa moja shule ya msingi, hakuwa muongeaji mzuri maana lugha ilimtatiza, alitokea upande wa pili.
Sikuwahi kusikia amejiendeleza kielimu...
Mkuu kitimotojikoniHuyu mtoto unamjua kaka
Aseee,Jimbo:Mwibara.
Mabula 398
Kajege 102
Kangi lugola 4
Nadhani Dae atakuwa na majibu.Shangazi mvua zimeenda kidogo halafu akina Dae wanamwangalia tu. Alishawahi kuolewa/kuwa na mtoto huyu au kaamua kuwa hivyo tu?
Muhandisi wa kesho
Nani aliyechukua turufu ya KaweGwajiboi chaliiii ....
View attachment 1512927
Jamaa mmoja anaitwa furahaNani aliyechukua turufu ya Kawe