Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9363bffbbfc43f18a15110c76fcb2736.jpg
 
Bado nahangaika kujua umri wa Hanta [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwenye mafuta ni Moud tu aliniangusha ila ukweli unabaki pale pale...75 yrs and counting [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1513204
Dahh shemeji [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kiukweli nimemzidi umri si chini ya miaka minne,alitukuta darasa la nne na kipindi hicho hatukuwa na mtihani wa kuvuka la nne,hakupata kikwazo kuendelea.
 
Wahenga tuje tukutane siku moja ili kukata mzizi wa fitina. Haki ya nani nyote humu mtanipa shikamoo [emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama umepita njia ya mkato Kitomondo kutokea ukuta wa jeshi na kuvuka barabara kwenda maeneo ya...hauna uhenga wa kututisha,miaka ya 80 eneo lote lile lilikuwa bwawa hakupitiki.
 
Kitomondo kule alikuwako Halima pini kali hatari kutoka Mombo Tanga. Miaka 45 iliyopita...Masters kidogo inishinde aisee. Those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]
 
1 Aliwanyima nafasi kivipi?
2 kwanini wanaume watelekeze watoto?
3 Kwani kuhusu sigara ni uwongo?
4 Ushahidi uko wapi wa kuongea mambo yasiyojulikana bar?
5 Kwani ni Jambo baya walimu kusafiri bure?
6 Aliingia majukumu ya wanasiasa kivipi?
Kwani ni wanasiasa wote wanapendana?
7Aliporaje majukumu ya tamisemi ? Kwani ni uongo kwamba yupo juu?
Bodaboda wakiingia mtaani wafukuzwa na tigo pamoja na vikampuni vya mfukoni vilivyopangwa kwenye mataa ya Tazara, Chang'ombe VETA,mataa ya Mwenge, mataa ya daraja la Salenda, mataa ya faya, mataa ya Uhasibu, mataa ya Kamata nk.
Ukikamatwa ni polisi, hutoki hapo mpaka upeleke laki 2.
Haya yalifanyika hadharani kama hakuwatuma lakini aliwahi kutoa amri pikipiki zishughulikiwe.
 
Unadhani Sababu ni ipi ya wao kufanyiwa hivyo?
 
Back
Top Bottom