Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibuuuu

Ingia yako kama goli la laporte vile halafu unajikausha sio offside
1595356995543.gif

Sasa hata hunikaribishi kwanza 😃😃

Niache kwanza nipumzike basi. Eeh!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sitaki kuamini kama hapa ndani ukarimu umepotea kiasi hichi, mtu kapotea muda mrefu anarudi hata hajapumzika tayari anapewa habari kama hizi kweli, bado nikiwaza na zile habari za Binti mpole tena. Daah!

Hongera sana bro kwa kutwaa ubingwa ndani na nje japo ubingwa wenyewe hauna mzuka ila ndio kimfaacho mtu tena [emoji16]
Kwahiyo umekuja kupumzika au siyo?
Hatukupumzishi ng'oo[emoji4]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂

Sitaki kuamini kama hapa ndani ukarimu umepotea kiasi hichi, mtu kapotea muda mrefu anarudi hata hajapumzika tayari anapewa habari kama hizi kweli, bado nikiwaza na zile habari za Binti mpole tena. Daah!

Hongera sana bro kwa kutwaa ubingwa ndani na nje japo ubingwa wenyewe hauna mzuka ila ndio kimfaacho mtu tena 😁
Halafu mmenikumbusha

Basi kale kambuzi ketu opsss ka goat kamemaliza msimu vibaya

1. Wenye pulizo lao sijui ballon kuona mtu wao kaangukia pua wamefuta shughuli kisa na mkasa corona

2. Mambo yameanza kua fayaaaa mchezaji kageuka kocha,benchi la usajili,benchi la kumbania griez,fan wa neymar

3.immmooooobilllllleee chaliii cheiii. G.O.A.T yupo pale juu kabisa kawakalia wenzie hakuna cha lukaku wala nini

4. Baada ya kupokea kombe tu Liver wanaoga vichapo kwa kwenda mbele mpaka wanasahau rekodi gani walitaka kuivunja msimu huu

[emoji125][emoji125][emoji125]ngoja nikachungulie kura za maoni za kanye west kule kwa trump
 
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ KD was here
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sitaki kuamini kama hapa ndani ukarimu umepotea kiasi hichi, mtu kapotea muda mrefu anarudi hata hajapumzika tayari anapewa habari kama hizi kweli, bado nikiwaza na zile habari za Binti mpole tena. Daah!

Hongera sana bro kwa kutwaa ubingwa ndani na nje japo ubingwa wenyewe hauna mzuka ila ndio kimfaacho mtu tena [emoji16]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ni mkazi wa muda mrefu na mfanyabiashara tangu enzi, tunatoka shule ile likizo tunafuata mizigo yake kule...kwa baiskeli, kipindi hicho @ 20kgs kwa sh.300,utabeba mifuko mingapi ni nguvu zako na uwezo wa kuikwepa difenda nyeupe.
Anaijua Kyela vizuri sana, ni "shemeji wa wilaya"
Ana historia nzuri sana.
Kila siku nazidi kuipenda nchi yangu.
Tanzania inapoteza dhana ya ukabila na udini kwa kasi kubwa.
Unamkataa mwenyeji mwenye nyodo, unampa kura mgeni mkarimu
"Tanzania nakupenda kwa roho moja"
 
Kwamba na mimi nimejitega kama wewe ulivyo jitega kwenye mafuta?! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Familia yao nzima ilitoka kwa Kaunda
Bado nahangaika kujua umri wa Hanta [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwenye mafuta ni Moud tu aliniangusha ila ukweli unabaki pale pale...75 yrs and counting [emoji1545][emoji1545]
2.3539732188458092E18.jpg
 
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka hiyo, ati ana miaka 75, lakini alitumia Ray's akiwa primary wakati mafuta ni ya miaka ya 80 na 90.
Wakati huo watu tulishaanza maisha kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wahenga tuje tukutane siku moja ili kukata mzizi wa fitina. Haki ya nani nyote humu mtanipa shikamoo [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Makonda aliwakwaza na nini?
1. Aliwanyima nafasi bodaboda wasifanye kazi zao kwa amani wakati serikali imeruhusu biashara hiyo
2. Aliingilia ndoa za watu wakati anajua kuna vyombo vya sheria.
3. Aliwakwaza wavuta sigara eti wanachafua jiji wakati serikali inategemea kodi ya bidhaa hiyo na jiji lenyewe pia ni chafu sana.
4.Usiku alikuwa anatembelea night klabu za katikati ya jiji na kuongea na wamiliki wake mambo yasiyojulikana.
5. Amelazimisha walimu wasafirishwe bure jijini Dar es salaam wakati wanalipwa mishahara, lakini watoto ambao hawana kipato wanasumbuliwa na madereva wa daladala ingawa wanalipa 200
Hakuwasaidia.
6. Alikuwa na mahusiano mabaya na wanasiasa wenzake kiasi kwamba aliingilia majukumu yao.
7. Alijiona yeye ndiye kiongozi wa juu wa wakuu wa mikoa yote, yaani alijaribu kupora majukumu ya Waziri wa Tamisemi.
>Hivi wasiojulikana ni akina nani?
Rejea kauli kuwa "Roma atapatikana kesho" na kweli kesho Roma alipatikana.

Orodha ni ndefu utanichosha
 
Back
Top Bottom