moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23] Nakihisi ni katumishi ka system kwakweli[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Usijekuta na kenyewe ni ka mtu ka system ohoooo !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Maswali yako magumu sana, maswali yamejaa upekepeke kama kuku wa kienyeji [emoji23][emoji23]Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moud Hadi wewe unanisema hivi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama yeye mwenyewe amekubali yamuue wewe ni nani mpaka akujali. Asiyejipenda na kujijali atawezaje kupenda na kujali wengine?
Wakati mwenzako kichwa kinauma kwa kazi ya kuchota maji ya kuoga, baadaye anawasha data anakutana na uzi wa likes, kwamba mzee mwenye miaka 75 na vijukuuu na vitukuu vyake wanapambania stori wapate likes, lazima ajiulize.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]Sasa kusombelea maji ya kuoga kisimani na likes nani wanapata raha?
Tutajuaje kuwa unaganga njaa!!Yesu wangu [emoji23]
Ningekuwa naganga njaa hivi mtaani?!
Siyo wewe kweli[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Nani usalama wa taifa?
[emoji23][emoji23]Kwani mlikuwa mnamwongelea nani?
Hahaha[emoji23][emoji23]Ndo zenu hizo. Kuuvaa uhusika vizuri....Hata kama ni kujifanya kichaa
Shwaini zenu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji85]
Ulale njaa wapi wewe, timiza majukumu yako kiroho safi[emoji23][emoji23][emoji23]Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya.
Si ajabu nalala njaa kila siku hapa kwa sababu mnaogopa kunipa hela mkidhani Nina hicho kibarua kinono[emoji1787]
Makonda au??
Hivi wanaangalia vigezo gani na mimi niende kuomba kibarua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We nishakushtukia muda mrefu sana [emoji16][emoji16]
Wengine hapa ndiyo kijiwe chetu cha kahawa. Hapa ndiyo baa tena kule mbele kaunta kabisa. Hapa ndipo tunajipigilia ma K-Vant yetu kama mzee wa liver akisherehekea ushindi wa Livapuu. Ndipo mahali pa sogozi. Unasoma tafiti za Esta mpaka unatabasamu tu kwa furaha. Kama siku hiyo una ngekewa unamfumania mzee wa Kinyakyusa na busara zake zile. Huku ukigeuka kuna mbuga za wanyama mara mkono umejaa almasi tele. Yote haya unayafaudu huku unapewa pole za kila aina mpaka za kuwa kwenye bajaji. Hujakaa sawa huyu hapa Yego na mazagazaga yake anakwenda kwenye harakati zake za Kipimbi. Jasho linamtoka balaa lakini ukimuuliza kulikoni ndugu unajibiwa Poti mi mgumu. Huku yuko Ze Don mzee wa Seventi faivu na memes zake zisizo na kichwa wala miguu. Mara ishu za prgramming zinaanza na mambo mengine siriazi yanazungumzwa hata siasa zinaparazwa...na mengine meeeengi. Sasa jitu linatoka tu lilikotoka huko hata bila kuelewa muktadha na mawanda ya uzi eti linaanza kuropoka tu na kufoka utafikiri lina mamlaka ya aina fulani hivi kuhusu uendeshaji wa maisha ya watu. Hovyo kabisa !!! [emoji16][emoji16][emoji16]Wakati mwenzako kichwa kinauma kwa kazi ya kuchota maji ya kuoga, baadaye anawasha data anakutana na uzi wa likes, kwamba mzee mwenye miaka 75 na vijukuuu na vitukuu vyake wanapambania stori wapate likes, lazima ajiulize.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Maana huwezi kujua huenda likes zinaleta mabomba ya maji mpaka UDOM[emoji23][emoji23][emoji23]
Mark my words...Nimeshaunganisha dots...[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Nakihisi ni katumishi ka system kwakweli[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Jamaa ni ovyo sana, inadaiwa ukiishi kijijini muda mrefu kisha uje upate madaraka au pesa utawasumbua sana watu.
Kwakweli sina huruma na huyo mtu
Waswahili wana kamsemo kanasema " masikini akipata matako ulia mbwata" kama sijakoseaJamaa ni ovyo sana, inadaiwa ukiishi kijijini muda mrefu kisha uje upate madaraka au pesa utawasumbua sana watu.
Kwakweli sina huruma na huyo mtu