moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Vigogo wote hawa watarudishwa na vigogo wenzao wanaofanya maamuzi ya mwisho. Hata Bashite usishangae jina lake likirudi. That's how the system works ....Bunge lijaro litajaa sura mpya mpya.. Vigogo wengi waliozoea kuisha kwa mazoea,wameangukia pua
Wewe[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Nani usalama wa taifa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo zenu hizo. Kuuvaa uhusika vizuri....Hata kama ni kujifanya kichaa
Shwaini zenu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji85]
Mliondoka pamoja bro na kulikuwa na tetesi nyingi sana. Hili unaliongeleaje?[emoji3][emoji3][emoji3]
Usijifanye hujui rmtafadhaliMakonda au??
Hivi wanaangalia vigezo gani na mimi niende kuomba kibarua.
Tatizo sio kuvuta sigara, tatizo kuvutia maeneo ya public pasipo kujari afya za wale waliopo kwenye eneo hilo. Mfano mtu anavuta sigara sokoni ama kwenye kituo cha usafir pasipo kuangalia pale halipo sio wote wanavuta sigara ama wanapenda moshi wa sigaraSigara zimeruhusiwa ingawa mi binafsi sivuti
Nimeshangaa sana hapa Dar watu wanakamtwa na kutozwa faini sh 50,000 kwa kosa la kuvuta sigara. Na kibaya zaidi wanavuta upenuni wala hawamsumbui mtu
Huu ni utoto,
Kuna watu tunalala njaaUlale njaa wapi wewe, timiza majukumu yako kiroho safi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa likes tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amesema ni feki jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani Jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
I hope atarudi[emoji3526]Ooh! Nimemmiss soulmate
Hivi kumbe haukuwepo eeh!?![emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3]he [emoji3]he [emoji3]he [emoji3]h!!
Nimeelewa papa tu hapo[emoji16]Mimi bado ni Dagaa tu kwenye hiyo Bahari ya Siasa iliyojaa big Fish kama Papa [emoji16]
#siwezikutamba
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Si nasema hapaTutajuaje kuwa unaganga njaa!!