Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Umekula chumvi ya kutosha
Elewa nilichosema, rafiki yangu mmoja alitulia mahali pa pekee, akawa unavuta sigara alikamatwa akalipishwa sh 50,000/Tatizo sio kuvuta sigara, tatizo kuvutia maeneo ya public pasipo kujari afya za wale waliopo kwenye eneo hilo. Mfano mtu anavuta sigara sokoni ama kwenye kituo cha usafir pasipo kuangalia pale halipo sio wote wanavuta sigara ama wanapenda moshi wa sigara
Kulala njaa hata ukiwa na hela unaweza ulale njaa, kama unategemea ukale mahali na umekosa chakula.Kuna watu tunalala njaa
Hivi mnajua wote tuna hela hapa???
Mara nyingi nyie watumishi wa hizo idara huwa ni wasiri sana[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Si nasema hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yana ugumu gani sasa
Sawasawa...100% [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1513248
Hahahaha, njoo tukutane tuone wa kumuamkia mwenzake [emoji23][emoji23]Nimeshasema tukutane Desemba hii Mungu Akituweka hai tukate mzizi wa fitina. Andaeni shikamoo zangu tu wallahi [emoji123][emoji123][emoji123]