myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni mnaoendelea na kazi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi ni kaka yako [emoji2089][emoji2089]Acha wafurahishane tu. Nsamaka last born anazaliwa mi nshamaliza chuo tena shahada mbili...Hakuna anayenizidi umri humu !!!
😂 😂 😂Sasa kusombelea maji ya kuoga kisimani na likes nani wanapata raha?
Uhenga haupigi hodi,Hahhahaha natania tu, japo niko mhenga kiasi
Ndugu; California kule nasikia zimetungwa sheria zinazokataza kuvuta sigara hata ukiwa peke yako nyumbani kwako mwenyewe. Lengo ni kuokoa mapafu ya mvutaji [emoji16][emoji16][emoji16]Elewa nilichosema, rafiki yangu mmoja alitulia mahali pa pekee, akawa unavuta sigara alikamatwa akalipishwa sh 50,000/
Kaka yangu alikamatwa akivuta sigara akiwa peke yake naye alidakwa.
Huu ni ujinga.
Kila mmoja anajua kuvuta sigara mbele za watu ni kosa, utamkata vipi anayevuta akiwa peke yake?
Aisee....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1513753
😂 😂 😂 😂 😂 Imekua hivyo tenaAcha kulia lia msaliti wewe !!!
View attachment 1513631