Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Sana bro, toka ameanguka pale Nyamagana, hana jipya tena, alitumia madaraka vibaya halaf akiwa bado kijana mdogo vyeo lukukiAna bahati mbaya sana kisiasa. Alivyopigwa Nyamagana pale na Wenje akiwa waziri wa mambo ya ndani ilikuwa kama sinema vile. Tangu wakati ule anatanga tanga tu...