Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ana bahati mbaya sana kisiasa. Alivyopigwa Nyamagana pale na Wenje akiwa waziri wa mambo ya ndani ilikuwa kama sinema vile. Tangu wakati ule anatanga tanga tu...
Sana bro, toka ameanguka pale Nyamagana, hana jipya tena, alitumia madaraka vibaya halaf akiwa bado kijana mdogo vyeo lukuki
 
Hela zimekaribia au zimeshamuishia. Aliwekeza nying fast jet na shirika likafa ndani ya muda mfupi. Aliuziwa cheni feki kwa hela halali
Huo uwekezaji ulishangaza wengi. Utawekezaje kwenye shirika ambalo ni wazi lilikuwa linakufa? Na usafiri wa ndege ni mojawapo ya biashara ngumu sana.

Kampuni yake ya sheria bado ipo. Atapiga hela tu ila inabidi atulie kidogo sasa hasa kwenye siasa. JK aliyemrundikia mavyeo akiwa bado mdogo hana ushawishi tena. Ni wakati wa kujipanga upya.
 
"Ninachokipenda sana kutoka kazi yako ni utofauti, huongei neno lolote lakini ajabu watu wanakuelewa" Albert Eisenstein." Yeah ni kweli, lakini umaarufu wako wewe ni mkubwa zaidi, Watu wanakupenda japo hawakuelewi" Charlie ChaplinIlikuwa kati ya mwaka 1930-31 Walipo onana pamoja Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…