Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wapi tena bro 😀😀Nianze kudai mahari sis?
Kwanza hii tabia ya kuficha ficha pesa inatokana na nini wakati bara letu ni masikini sana ?Jinga hili. Halina mke. Halina familia. Halafu linaficha $ milioni 6 nyumbani kwake. Who does that?