Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jinga hili. Halina mke. Halina familia. Halafu linaficha $ milioni 6 nyumbani kwake. Who does that?
Kwanza hii tabia ya kuficha ficha pesa inatokana na nini wakati bara letu ni masikini sana ?

Hebu mwambie ndugu yako "Joka la makengeza" akatoe hela yake ughaibuni aje awekeze kiwanda cha nguo mkoani Simiyu ili watu wake wafaidike nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…