Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
400040200321_197444.jpg
 
Baada ya kuambulia KURA 2 kwny KURA ZA MAONI Jana usiku nikaamua kufanya tafrija ya kuwashukuru wafuasi wangu japo KURA hazikutosha,kwani ndio DEMOKRASIA.

Baada ya kula na kupata vinywaji, ndio nikaanza kutoa hotuba ya SHUKRANI, nikasema

"Asanteni ndugu zangu. Hili la uchaguzi limepita, ila naomba yule alienipigia hiyo KURA MOJA apite mbele NIMSHUKURU,KWAKUWA HIYO KURA 1 NYINGINE NAJUA NI YANGU, si WAKAINUKA WOTE UKUMBINI WANAGOMBANIA KUJA MBELE?!!! Nikamwambia mpambe wangu azime taa UKUMBINI kisha awaite VIJANA WANGU WALIOKUWA WAMEJIFICHA WAKIWA NA BAKORA WAFANYE KAZI YAO, Kisha Mimi nikaondoka zangu huko UKUMBINI HIVI SASA NASIKIA VILIO TU!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom