Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halafu huwa analalamika sana kuwa nguvu nyingi mno zimeelekezwa kwenye miundo mbinu mpaka imeonekana kuwa mkazo upo katika maendeleo ya vitu na siyo watu. Halafu huyo huyo tena analalamika eti barabara mbovu. It is like he wants to eat his cake...and have it too [emoji16][emoji16]Ila wanasiasa huwa niwanafiki yan ya jimbon mwake ajayaona kaenda kusema ya wilaya nyingine.
Ebu tuoneshe ya kigoma na miaka yako
yote madarakan
Sidhani kama kuna taifa jingine hapa duniani lenye maneno, misemo na kauli sogozi kama sisi Wabongo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah wabongo tuko vizuri sana kwenye mizaha....ila ndugu zetu wakenya hatujawaacha mbali.Sidhani kama kuna taifa jingine hapa duniani lenye maneno, misemo na kauli sogozi kama sisi Wabongo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Marahaba TH. Kwema huko kwako? Umenitupa yaani siyo poa kabisa. Ngosha wa Sapiwi naye sijamsikia siku nyingi. Alihama au bado yupo? Kama yupo msalimie sana. Endelea kubarikiwa binti mpole mcheshi mwema wewe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahah wabongo tuko vizuri sana kwenye mizaha....ila ndugu zetu wakenya hatujawaacha mbali.
Heshima yako ya dhati kabisa The don himself, shikamoo SYB[emoji120]
Kwema kabisa The don, Jamani mbona nitapata adhabu kwa kukutupa sasa, maana nimezidisha..!Marahaba TH. Kwema huko kwako? Umenitupa yaani siyo poa kabisa. Ngosha wa Sapiwi naye sijamsikia siku nyingi. Alihama au bado yupo? Kama yupo msalimie sana. Endelea kubarikiwa binti mpole mcheshi mwema wewe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Uyui moja hiyo[emoji23][emoji23]
Poa TH habari za kupotea?[emoji1][emoji1]
Mambo sisy