andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Wapi Yegomasika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekula page mbili una solve probability, dakika ya mwisho inakupa jibu ni -1.6 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi Yegomasika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa makini sana na hao jamaaHalafu huwa analalamika sana kuwa nguvu nyingi mno zimeelekezwa kwenye miundo mbinu mpaka imeonekana kuwa mkazo upo katika maendeleo ya vitu na siyo watu. Halafu huyo huyo tena analalamika eti barabara mbovu. It is like he wants to eat his cake...and have it too [emoji16][emoji16]
Kwema kabisa The don, Jamani mbona nitapata adhabu kwa kukutupa sasa, maana nimezidisha..!
Ngosha wa sapiwi yupo anagangamala, aje aiinue simiyu mpya[emoji16][emoji16], nitamsalimu nimwambie Gashimba amekukumbuka[emoji2088]
DuhMajani ya kundeView attachment 1515749
Duh....hatari