Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200725_033030_970.jpg
 
Kweli kuoa kuna faida, kijana umekuwa wa busara na mtulivu sana, nadhani unamkaribia kwa karibu sana Bradha...
Yuko wapi yule Shwaini Davet alazimishwe hata ndoa ya mkeka ili nae atulie?

Apumzike mzee wetu, japo kipindi chake kilikula kimtaji changu na kunikumbusha umuhimu wa kurudi shule.
Kwamba zile safari za Tanga zimeshalipa?Mbona sikupata mwaliko?

Ankoo salama?Hukuchukua fomu kweli wewe?
 
Back
Top Bottom