capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji23][emoji23]Unipe mrejesho!
Mkuu una account ngapi?[emoji23][emoji23]Nipo sana kingozi nimekuona mahala kwa mbali nikaona nongwa kukusemesha mkuu.
Mi mkulima sina thamani yoyote.Inawezekana hapa STD 7 ni Mimi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wewne hujajitaja??
Ukute wewe ndiye Yule waziri wa Maliasili
Dakika 200!!! Yaani m asaa mawili naa dakika 20 simba jike ananeng'enekewa na mibaba kwa mikito ya nguvu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Simba jike joto likimpanda hupandwa na dume zaidi ya mara 100 kwa siku moja ili kukidhi haja zake na kuweza kubeba ujauzito (mimba)
NB: mshindo mmoja huwa hauzidi dakika mbili.
Kweli kuoa kuna faida, kijana umekuwa wa busara na mtulivu sana, nadhani unamkaribia kwa karibu sana Bradha...Usemalo ni kweli Bro, ni kudra zake Mungu tu kukufikisha umri huo...
Tusali na kumuomba sana Mungu, kwani hakuna ajuaye siku ya mauti yake..
Ina lillah wainalillah rajuin[emoji120]
Dakika 200!!! Yaani m asaa mawili naa dakika 20 simba jike ananeng'enekewa na mibaba kwa mikito ya nguvu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ila tabia za simba jike ni za umalaya malaya sana, yeye ni kujitongozesha tu