moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Alikuja humu, hukumuona Jana?Wacha bwana!![emoji3][emoji3]
Hebu nipatie namba nimpigie
[emoji3][emoji3][emoji3]msema kweli mpenzi wa Mungu ujue...[emoji2088]Nipo uyui tabora hukooo
Walio poteza bikra tangu utoton ndio utawasikia wanajitetea hvyovirginity is not dignity,but its lack of opportunity" tembea na hii bob itakusaidia
[emoji848]Usimuombe Mungu akupe Mzigo Mwepesi Bali Muombe Akupe Mabega Makubwa ya kuweza Kubeba Mzigo Wowote.
Ndio ndio Aunt.Ili uweze kuwa na maisha mazuri hapa mjini Hupaswi kuwa na shughuli moja ya kufanya. Either wewe ni mwajiriwa anzisha biashara yako pembeni or wewe ni mtafutaji basi usiegemee sehemu moja. Fanya shughuli nyingi nyingi ambazo zipo ndn ya uwezo wako Tafuta hela usiitwe masikini.
[emoji849]Kwa muda huu kuna idadi ya watu wasio pungua 166,000 ambao wanafanya tendo la ngono na katika idadi yote iyo asilimia 30% wanasaliti mahusiano Yao.