Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thubutu, umaarufu wangu unaishia chumbani kwa mke wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutudanganya Wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thubutu, umaarufu wangu unaishia chumbani kwa mke wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji44][emoji44][emoji24][emoji24][emoji24]Rais wa awamu ya 3 Tanzania, Benjamin Mkapa ametangulia mbele ya haki.
View attachment 1515326
Elewa hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutudanganya Wewe
Sawa ustaadhElewa hivyo
Okay me nilivutiwa na moja tu katika zile zote!
Njema, sijui wewe.Daaah aiseee marahabaa bradha,za kuadimika?
Usemalo ni kweli Bro, ni kudra zake Mungu tu kukufikisha umri huo...Poleni sana aisee. Just like that maisha yamekoma. Miaka 82 si haba na yote ni kumshukuru Mungu. Bado sie [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1515360
Ha ha ha...kupotea kote kule alikuwa anamalizia ule mzigo kumbe
Wacha bwana!!😀😀Hah, tupo vacation.😀
Kwema bro?familia haijambo hapo?Wacha bwana!![emoji3][emoji3]
Hebu nipatie namba nimpigie
Bradha marahabaa second born ameshakuja nini maana sio kwa kupotea hukoWacha bwana!!😀😀
Hebu nipatie namba nimpigie
Nipo uyui tabora hukoooNjema, sijui wewe.
Upo wapi siku hizi 😀😀
Aaah sawa kabisa. Hii ya kuangalia sasaOkay me nilivutiwa na moja tu katika zile zote!
' 365 Days' !!
Unipe mrejesho!Aaah sawa kabisa. Hii ya kuangalia sasa