mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ila hapa kuna profesa, Bingwa wa fani furani anayefundisha chuo furani.Ukute moud ni mtu maarufu tu ila hatujui.
Poleni sana aisee. Just like that maisha yamekoma. Miaka 82 si haba na yote ni kumshukuru Mungu. Bado sie [emoji1545][emoji1545]Rest in peace B.W.Mkapa
😂😂Usiku wa jirani
Apumzike kwa amani..Usiku wa majonzi ya kuondokewa na mpendwa wetu
Inawezekana hapa STD 7 ni Mimi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hapa kuna profesa, Bingwa wa fani furani anayefundisha chuo furani.
Kuna muhadhiri mwanadamizi wa chuo furani.
Kuna mbunge wa jimbo furani,
Kuna mdada mtumishi wa uma kutoka kitengo furani[emoji23][emoji23] huenda ukawa wewe [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]