Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpaka leo nimeota nasoma hizi tafiti dah! Esta yaani katukamata kweli kweli. Tafiti bomba sana hasa zikigusa haya mambo matamu ndo kabisa mi ananimaliza.

Kuko salama huko kwako bro?
Tupo wengi tunazifatilia hizi tafiti zake bro..

Huku ni kwema bro, uzima upo.

Vipi huko Bro? Mnaendeleaje
 
Screenshot_20200723-171443.png
 
Siasa siziwezi kamanda. Usitishwe na makelele yangu humu. Kiuhalisia siyo mwongeaji sana na wala siyo social kivile. Ni mimi na mishe zangu tu. Sasa hii ya kuanza kujikomba kwa watu na unafiki itakuwa mtihani sana. Siasa zina wenyewe. Hata wewe nahisi unaziweza sana tu, kama haumo ndanimwe tayari. Na ubaya/uzuri hamsemagi. Si ajabu tunapishana mabarabarani huko mnatumwagia matope mkiwa ndani ya ma V8 yenu ya serikali. Shwaini zenu [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23].
Mi siyo mwanasiasa kamanda
 
Back
Top Bottom