Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera wakulima wooote..
FB_IMG_1594156348345.jpg
 
#February2017

GWAJIBOY: Mimi siwezi kugombea ubunge kwa sababu nitakuwa nimejishusha chini. Ubunge kwangu ni demotion. Mimi ni mkubwa kuliko mbunge, mimi ni mkubwa kuliko Waziri, Mimi ni mkubwa kuliko Rais. Sema Amen.

WAUMINI: Ameeeeen.!

#July2020
GWAJIBOY: Itoshe tu kusema sasa nagombea ubunge jimbo la Kawe. Kuna watu wanasema eti ubunge ni kujishusha chini. Ngoja niwapasue sasa.

WAUMINI: Pasuaaaaa.!

GWAJIBOY: Ubunge sio kujishusha chini ni kupanua huduma, sema kupanua.

WAUMINI: Kupanua.

GWAJIBOY: Kupitia kanisa nilikua nafikia watu wa Dar es Salaam peke yake, lakini kupitia ubunge nitafikia taifa zima sasa. Napanua huduma. Sema kupanua.

WAUMINI: Kupanua.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je, Ulishawashi kusikia story ya *Igbo landing??* Kama bado naomba nikujuze.
'Igbo landing' ni eneo lililopo huko Georgia, Marekani lilolobeba historia kubwa ya waafrika katika jitihada za kuupinga *Utumwa*
Hapa ndio mahala ambapo watumwa waliotoka Afrika walijitoa mhanga kwa *kujizamisha majini*, ikiwa ni ishara ya kupinga utumwa.
Mnamo *mwaka 1803*, Boti iliyokuwa imebeba watumwa takribani 75 kutokea afrika magharibi hususani nchini *Nigeria* iliwasili katika pwani ya *St. Simons* huko Georgia Marekani.
Watumwa ambao walikuwa ni wa *kabila la Igbo*, baada ya kuwasili huko utumwani, waliona ni bora *kujiua* kuliko kukubali kutumikishwa kama watumwa.
Baada ya kwisha kuwaua wale manahodha wa kizungu na kuharibu ile boti waliyokuja nayo, Watumwa hao wapatao 75 waliamua kujizamisha majini kwa lengo la kujiua.
Wakiongozwa na chifu wao huku wakiwa wamefungwa minyororo shingoni walijipanga msururu kuelekea ndani ya maji ya mto *Dunbar Creek* huku wakiimba nyimbo.
Watu mbalimbali wamejaribu kuenzi tukio hili la igbo landing ikiwa ni katika kukudmbuka harakati zailizofanywa na waafrika katika kupinga utumwa.
Mnamo mwaka 2002, Wamarekani weusi waishio st Simons, waliandaa kumbukizi ya igbo landing kwa kutembelea eneo ambako tukio lilifanyika.
Pia Vilevile kuna wasanii ambao kupitia kazi zao wamejaribu kuenzi tukio hili..Mfano msanii *Beyonce*, katika video yake ya 'Love drought", anaonekana akiongoza msururu wa Watu na kuelekea ndani ya maji.Hiyo imetafsiriwa kama kumbukizi ya tukio la *Igbo landing*
Pia *Toni Morrison,* mwandishi ambaye aliwahi kushinda tuzo ya Nobel katika fasihi , naye ameelezea tukio hili la igbo landing kupitia riwaya yake ya *"Song of Solomon"*
 
dogo

Back
Top Bottom