Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwamba zile safari za Tanga zimeshalipa?Mbona sikupata mwaliko?
Ankoo salama?Hukuchukua fomu kweli wewe?
ππππ[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Salama kabisa Anko, unaendeleaje na familia pamoja na majukumu yako kwa ujumla?
Umewahi kumsikia mwenye kigugumizi ni mwanasiasa? Mwenye kigugumizi hawezi kudanganya, atakamatika mapema sana...
Ankoo unanichimba [emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kigugumizi kimeanza lini?
Sisi ni wazima kabisa.
Social distanceπππ
Dada upo?