Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Savimbi. Mabeberu nao siyo watu. Walimtumia huyu mwamba na walipomuona kamaliza thamani wakamtema. Wakamfanya aukatae umakamu wa rais huku wakimwaminisha kuwa watamsapoti mpaka aukwae urais kwa njia yo yote ile kumbe wanamwingiza cha kike. Ila mwamba alipigana mpaka dakika ya mwisho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…