myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe afya na uzima 🙏🙏
DuhChama hiki kina wenyewe [emoji16]
View attachment 1521505
Ni tajiri sana huyu kijana hana shida. Sema labda shida ya kukosa madaraka na mahali pa kujivuna na kutukana watu...Mhuni saivi ni jobless anaweza kuwa kibakaView attachment 1521329
Ni kweli broDuuu.
Lakini kwakweli bro kama unajiona kuwa unapitia changamoto, basi jua kuna wanaopitia changamoto ngumu kuliko zako.
Subra ndiyo dawa pekee
Hapa ni baharia kapita na mama mjamzito
Aisee kama amejizushia kifo, basi yupo na shida mahaliHuyu dada ni jeshi la mtu mmoja. Hata rolo modo wa enzi zangu zile akasome. Watakwama [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila watu wameanza kuunganisha dot...
Je, mleta taarifa siyo Umomi mwenyewe?
Tatizo hakuongea na wajumbe "kisiasa" akang'ang'ana kwe "facts".Wajumbe wamemfanyia kitu mbaya Prof. Lumumba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1521169
Wajumbe siyo watu...Tatizo hakuongea na wajumbe "kisiasa" akang'ang'ana kwe "facts".
Wamemfyeka haoooo wanaondoka [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1521628