Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Klabu ya kwanza kuanzishwa Duniani ni Sheffield United kutoka England, Ilianzishwa mwaka 1857.
[emoji23][emoji23][emoji23]Duh!!!!
Mi nilidhani kwa kuwa wao ni masupastaa wangeruhusiwa kuingia hapo muda wowote.Hawakukatazwa bali walivunja utaratibu, Sasa ukosee alafu uachawe tu kisa ww ni mtu fulni? Kila kitu kina kanuni zake na nivizuri kuzifuata
Serikali ya Tanzania awamu ya 3 wameweka hicho kipaumbele kulingana na fursa tulizonazo.Weeee ata nchi matajiri sizan kama wananchi wake kipatochao kwa siku $3000 labda kama wanaishi mbingun
Mkata umeme anaomboleza
Si ndiyo huyo hapo.
Muhuni anadai wanaomcheka hivi sasa anawarekodi, Mkulu akimpa shavu atawafanya kitu mbaya wanaomcheka hivi sasa ili kuwakomesha[emoji23][emoji23]Mhuni saivi ni jobless anaweza kuwa kibakaView attachment 1521329
Watu wanaochelewa kulala (Mabundi) wana hatari ya 10% zaidi ya kufa mapema, Kuchelewa kulala huongeza; Hatari ya magonjwa ya moyo, Kisukari na matatizo ya kihisia.
Duh..Muhuni anadai wanaomcheka hivi sasa anawarekodi, Mkulu akimpa shavu atawafanya kitu mbaya wanaomcheka hivi sasa ili kuwakomesha[emoji23][emoji23]
Walitaka sifa za kijingaMi nilidhani kwa kuwa wao ni masupastaa wangeruhusiwa kuingia hapo muda wowote.
Nadhani hawakuwa na nia