Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Salama sana.Shida yote hii ya nini. Kuaminiana kunatosha...
Kumekuchaje huko?
Hapo sawa [emoji16][emoji16][emoji16]Salama sana.
Tatizo kuna watu wanapenda sana kuchunguza sim za watu, hasa ss tusiomiriki magari ukipanda daradara sms ya kibaby chako ikiingia lazma uanze kujificha ficha ili uisome
Weeee ata nchi matajiri sizan kama wananchi wake kipatochao kwa siku $3000 labda kama wanaishi mbingunKumekucha, twendeni tukajenge taifa letu ili tukamilishe kipaumbele cha uchumi wa kati $3,000 per day
Alafu jana sikuwaona viongozi wa CDM kwenye uwekaji wa mataji kwenye kaburi la Mkapa, ama ndio ugonjwa wangu wa macho umerudi tena!?
Inasemekana walikatazwa kuaga uwanjani. Labda walisusa kwenda Mtwara!Alafu jana sikuwaona viongozi wa CDM kwenye uwekaji wa mataji kwenye kaburi la Mkapa, ama ndio ugonjwa wangu wa macho umerudi tena!?
Hawakukatazwa bali walivunja utaratibu, Sasa ukosee alafu uachawe tu kisa ww ni mtu fulni? Kila kitu kina kanuni zake na nivizuri kuzifuataInasemekana walikatazwa kuaga uwanjani. Labda walisusa kwenda Mtwara!
You ever wonder what people really want from you?