capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Alikosa msahauri.Aisee, nmeona nyuzi zake nyingi zilikuwa na kuonesha msongo wa mawazo alionao..
R. I. P member mwenzetu
Wakati mwingine JF si mahala pazuri pa kupata ushauri thabiti.
Nimesoma thread yake moja na sikuona kama alipata alichokihitaji ni mzaha tu na hata yeye alifanya reply za mzaha kwa swala ambalo ni serious sana kwake.