moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapa ndiyo mwisho wa mwenzetu.
Sote tutapita hapo.
Sote tutapita hapo.
Dah maskinii Jamaa amechukua maamuzi magumu hivyo , Apumzike kwa amani
Mh!!Mvulana huyu raia wa Ghana amebadirisha jinsia yake kuwa msichana, kama anavyoonekana kulia.View attachment 1520547
So sadDah maskinii Jamaa amechukua maamuzi magumu hivyo , Apumzike kwa amani
Sad kwa kwelAisee, nmeona nyuzi zake nyingi zilikuwa na kuonesha msongo wa mawazo alionao..
R. I. P member mwenzetu
AiseeFika mahali hapa ufurahie Dunia View attachment 1520766
Kuna reply alicheka pasipo stahili... Imeumiza sana.Alikosa msahauri.
Wakati mwingine JF si mahala pazuri pa kupata ushauri thabiti.
Nimesoma thread yake moja na sikuona kama alipata alichokihitaji ni mzaha tu na hata yeye alifanya reply za mzaha kwa swala ambalo ni serious sana kwake.