Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1596025505513.jpg
 
Huyu carbamazepine, popote alipo; my Beibe, my Kivuruge. Embu ukuje basi, tumekumisimo. Kuna mvinyo za kufa mtu kwa ajili yako yaani, maua ndio usiseme; nishapata tuition ya nguvu toka kwa SYB hapa. Hata IBIZA safari hii tutaenda walahi. [emoji16][emoji16]
Mpaka mgumu kusema hivi aisee Kivuruge itabidi aje tu kwa sababu hakuna namna...
tapatalk_1566379965655.gif
 
Mvulana huyu raia wa Ghana amebadirisha jinsia yake kuwa msichana, kama anavyoonekana kulia.View attachment 1520547
Haya mambo yameshafika mpaka Afrika?

Kuna rafiki yangu Mjamaika ana binti yake yuko chuo kikuu anasomea uhandisi wa umeme. Tena binti kweli kweli siyo mchezo. Ni majuzi tu ndiyo nimegundua kuwa kumbe alizaliwa akiwa mvulana na hapo alipo bado ana mkuyenge. Ameshamaliza maandalizi yote na therapy za mwanzo (hormones, operesheni za kuweka matiti, kupandikiza msambwanda...); na sasa yupo anaomba kuchangiwa pesa huko GoFundMe ili aanze kufanya operesheni kamili ya kuondoa mkuyenge na kuweka kipochi manyoya ili awe mwanamke kamili. Na ana ndoto za kuolewa na kuwa na familia. Ndiyo dunia yetu hii [emoji51]
 
Back
Top Bottom