Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahaa kweliiiikama kweli vile. š
Hahahahaa kweliiiikama kweli vile. š
Kwema Chief!!Safi kabisa, mambo vipi huko?
Hii karbu ya ukweli ukweli ?[emoji23]Hahahah karibu
Sawasawa...Namna ya kutumia tangawizi kwenye nywele
Toa maganda ya juu.
Iponde halafu kamua maji yake.
Hayo maji yake unaweza kuyachanganya na asali au parachichi au mshubiri.
Tangawizi isiwe nyingi; tumia kidogo tu.
Baada ya hapo unapaka kuanzia chini kupanda juu na huku ukimasaji ngozi yako.
Kweli...Kwa mfano , iwapo tunatumia sukari , bakteria wanaoishi katika mashimo ya meno huongezeka.
Bakteria hao hubadilisha sukari na kuwa asidi ya kaboni. Baadhi ya bakteria wanaozalisha asidi hiyo hujizatiti na kuishi huku wengine wakifariki.
Tunapotumia sukari kwa wingi , bakteria wanaokula sukari na kuzalishi asidi ya kaboni huongezeka katika mashimo ya meno suala linaloharibu jino.
Baada ya muda hii inaweza kusababisha kuoza kwa jino.
Eee ukipotea mie simoooHii karbu ya ukweli ukweli ?[emoji23]
AiseeRasmi nimehamia Lupaso