Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa jumla , kila mtu ana kati ya spishi 100 na 200 za bakteria wa kinywani kati ya spishi 700 zinazotambulika.
Tunapomuuliza mtu ni bakteria wangapi waliopo ndani ya mate ya mililita moja , wengi hupuuza jibu lake .Kuna bakteria takriban milioni 100 katika mililita moja ya mate.
Bakteria hawa huishi katika meno, ulimi, ufizi na maeneo mengine ya kinywa. Ukijumlisha bakteria wote walio mdomoni , idadi yao hufikia bilioni kadhaa.
 
Athari chanya
Wakati bakteria wapya wanapoingia mdomoni , ni vigumu kwao kuweza kuishi, kuna jeshi la bakteria wanaoishi katika eneo hilo.
Ukiongezea, viumbe hao walio na faida kwa mwili wa mwandamu hubadilisha madini ya nitrate kutoka katika mboga na matunda hadi kuwa nitrite.
 
Kwa kawaida , bakteria wetu sio hatari, lakini wanaweza kusababisha magonjwa ya kinywani miongoni mwa watu kutokana na uchafu.
Chakula kisicho na afya ama uchafu wa mdomoni unaweza kusababisha ukosefu wa usawa wa bakteria mdomoni. Baadhi ya bakteria huongezeka kwa idadi huku wengine wakipungua.
 
Kwa mfano , iwapo tunatumia sukari , bakteria wanaoishi katika mashimo ya meno huongezeka.
Bakteria hao hubadilisha sukari na kuwa asidi ya kaboni. Baadhi ya bakteria wanaozalisha asidi hiyo hujizatiti na kuishi huku wengine wakifariki.
Tunapotumia sukari kwa wingi , bakteria wanaokula sukari na kuzalishi asidi ya kaboni huongezeka katika mashimo ya meno suala linaloharibu jino.
Baada ya muda hii inaweza kusababisha kuoza kwa jino.
 
Magonjwa mengine
Kuna ushahidi kwamba magonjwa ya kinywani yanaweza kuchangia matatizo tofauti .
Mtu anapokuwa na tatizo la kinywani huongeza hatari , kwa mfano ugonjwa wa rheumatoid arologist, atherosulinosis, shinikizo la damu, ugonjwa wa Alzheimers, ugonjwa wa sukari, na matatizo wakati wa kujifungua.
Watu wanaougua matatizo ya kinywani , huwa na sababu tofauti zinazoweza kusababisha magonjwa mengine.
 
Kwa mfano, idadi kuu ya molekyuli zinazozalishwa na seli za binadamu na kusababisha uvimbe katika ufizi zinaweza kufikia viungo vingine vya mwili na kusababisha arhari katika maeneo hayo. Kumtembelea daktari wa meno ili kutibu matatizo hayo ya kinywa ni muhimu.
Hivi majuzi kundi moja la watafiti lilifanyia utafiti ubongo wa watu waliofariki kutokana na AlZheimer.
 
Waligundua chembechembe za DNA kutoka kwa Porhyromonas gingivalis na Enzymes inayoitwa gingipain, ambayo inavunja protini za binadamu.
Zaidi ni kwamba idadi ya enzymes hizo zilitokana na athari zinazotokana na ugonjwa huo.
Watafiti hao waliwapatia panya idadi kubwa ya bakteria hao na viini hivyo vikaathiri ubongo wao.
 
Wanyama hao walianza kuwa na dalili za ugonjwa wa Alzheimer, lakini wale waliopatiwa tiba ya gingipain waliimarika kiafya.
Hitimisho moja ni kwamba Porhyromonas gingivalis inaweza kufikia ubongo na, kwa miaka mingi, inachangia ukuaji wa Alzheimer's.
 
Afya ya binadamu ina uhusiano mzuri wa viumbe vinavyoishi ndani yake ikiwemo vile vilivyo ndani ya mdomo.
Kutokana na ukosefu wa usafi ama mlo usio na Afya , bakteria wanaweza kusababisha matatizo mdomoni na maeneo mingine ya mwili.
 
Screenshot_2020-07-28 Instagram(25).png
 
View attachment 1519869

Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson amefichua kwamba kocha wa mabingwa wa EPL msimu huu Jurgen Klopp alimpigia simu usiku wa manane kumuambia kwamba wamebeba ubingwa wa Uingereza.
.
Fergie amesema Klopp ni mtu poa sana na mwenye ari ya kupambana lakini imebidi amsamehe kwa kitendo cha kumuamsha usingizini saa tisa usiku baada ya kumpigia simu akimuambia wamechukua ubingwa.
.
“Mtu poa sana na naona klabu imekua na kiwango kizuri sana, ninakusamehe kwa kitendo chako cha kuniamsha usiku wa manane, lakini asante na hongera hakika ulistahili” alisema Ferguson katika mahojiano na Sky Sports.

Babu kawasemehe[emoji2][emoji2] Cc: Liverpools
Duuu Klopp hana adabu kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamuansha mzee wa watu saa 9 usiku umueleze tukio ambalo kila mmoja ameliona!!?[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
 
Shwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijichanganya siku moja mitaa ya Keko Toroli, nikakutana na mama Muba ana bonge la tak, kwa jinsi alivyo kuwa anazungusha ikawa tofauti na wale wengine, nikaweka kambi hapo. Kila jioni ya hamu najitokea Sokota nakula chocho la mzee Temba (baba yake Mheshimiwa Temba) huyo makaburini natokea Wapiwapi's bar.
Siku nikamkaba aeleze anawazungushia wangapi hivyo? Akajibu ananipenda na yeye ni mzaramo wala hajiuzi. Ilibaki hiviiii [emoji108][emoji108]nimuoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Back
Top Bottom