Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Yaani hata kama wewe ndio ungekuwa mme wake wala usingekuwa na wasiwasi. 😁 😁Kwa ugumu wako poti hakutakuwa na tatizo [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani hata kama wewe ndio ungekuwa mme wake wala usingekuwa na wasiwasi. 😁 😁Kwa ugumu wako poti hakutakuwa na tatizo [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂Waswahili tunapenda mambo ya hovyo hovyo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuna ushabiki wa ajabu hadi tuna kosa uwezo wa kujihoji kama tukishabikiacho kina tija ya jumla kwenye maisha yetu?!!
Yule mzee alituroga vibaya na kaondoka na tiba yetu. Acha tuendelee kuwa mazwazwa milele daima
Kule kuwaza kazi anazopewa waifu wako huko aliko kunafikirisha kiasi cha kukutoa jasho [emoji1787][emoji1786][emoji1786]Sasa unatoka mijasho ya nini?
Hata kama ungekuwa ndiyo daktari pekee duniani aliyebakia sileti pisi kali kama hiyo kwako aisee. Mgumu wa bandia. Oooh hell no!!! Labda na mimi nibakie humo humo wakati unafanya hiyo sijui pep smear yako. Na kwa ishu za wanawake; naungana kabisa na Ostaadh Kipozeo kwamba wanapaswa kutibiwa/kuchunguzwa na madaktari wa kike. Sasa unakuta janaume zima eti limesipesholaizi ini Obstetrics and Gynecology. Whai? Kozi zingine ziliisha hata podiatry huko? Uhuni tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Yaani hata kama wewe ndio ungekuwa mme wake wala usingekuwa na wasiwasi. [emoji16] [emoji16]