Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alaumiwe yule mzee...
Hawa wote vibaraka,huu mchezo hauna tofauti na WWE ya kina Jonisina, matokeo yanajulikana wanaosumbuliwa akili zao ni wananzengo.
Hakukuwa na haja ya kuanzishwa vikundi vya kupingana na mpingwaji,... Mtei, Marando, Selasini, Seif,Cheyo... wapingwaji kwenda kupinga?!!! Mwakitwange,Sanga,Mtikila hawakuaminika... Ajabu sana.
Shida sana. Napenda harakati za wadeki barabara
 
Waswahili tunapenda mambo ya hovyo hovyo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuna ushabiki wa ajabu hadi tuna kosa uwezo wa kujihoji kama tukishabikiacho kina tija ya jumla kwenye maisha yetu?!!
Yule mzee alituroga vibaya na kaondoka na tiba yetu. Acha tuendelee kuwa mazwazwa milele daima
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Screenshot_2020-07-28 Instagram(6).png
 
Alaumiwe yule mzee...
Hawa wote vibaraka,huu mchezo hauna tofauti na WWE ya kina Jonisina, matokeo yanajulikana wanaosumbuliwa akili zao ni wananzengo.
Hakukuwa na haja ya kuanzishwa vikundi vya kupingana na mpingwaji,... Mtei, Marando, Selasini, Seif,Cheyo... wapingwaji kwenda kupinga?!!! Mwakitwange,Sanga,Mtikila hawakuaminika... Ajabu sana.
Umenena.
Janja janja hii haikuanza leo wala jana.
Ipo imepangwa na kupangika.
Sijawasahau wajuvi waliokalia meza za mbele kwenye kudai vyama hivi.
 
Nyalandu agoma kumuachia nafasi ya Urais Membe; >>>"Nagombea urais kwasababu nina maono na nina azma kamili ya kuongoza Nchi kama Chama changu kikinipa hiyo fursa" "Niko hapa nagombea urais, sigombei ili kesho nimpishe mtu hizo zitakuwa ni siasa za kizamani sana" alisema Nyalandu
Membe ana ego ya ajabu. Anataka kuachiwa agombee yeye kama nani? Si ajabu hata atataka Lisu amwachie. Ana sifa zipi ambazo wengine hawana? Ukachero ama? Pesa?
 
Back
Top Bottom