Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijichanganya siku moja mitaa ya Keko Toroli, nikakutana na mama Muba ana bonge la tak, kwa jinsi alivyo kuwa anazungusha ikawa tofauti na wale wengine, nikaweka kambi hapo. Kila jioni ya hamu najitokea Sokota nakula chocho la mzee Temba (baba yake Mheshimiwa Temba) huyo makaburini natokea Wapiwapi's bar.
Siku nikamkaba aeleze anawazungushia wangapi hivyo? Akajibu ananipenda na yeye ni mzaramo wala hajiuzi. Ilibaki hiviiii [emoji108][emoji108]nimuoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msambwanda ungekuponza wallahi mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki izi mai homu japo kwa sasa nimehamia Dubai [emoji1734][emoji1734][emoji1734]

Shwaini zake Mama Muba na bonge lake la tak...Kabula wangu angepoteza souli meti wake kizembe zembe tu...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
  1. wewe muhuni ile project ya wafaransa nitaipatia wapi?
  2. messiah haijanivutia ila imemaliza vizuri baada ya tukio la kuanguka kwa ndege(ameonyesha muujiza kwa wasiomuamini)
  3. Raymond "Red" Reddington akianzisha dini nitakuwa mfuasi wake, hatimaye season 1 nimeimaliza...... najipanga kuitafuta season 2 ya the blacklist
  4. usisite kuniongezea pombe nyengine
Messiah...mimi mwenyewe sijawahi icheki japo trailer yake huwa inanivutia kuitazama,nmeiweka pending hii

The Bureau... Hii ya wafaransa.. Nakuwekea link muda si mrefu

Project zingine... Check hizi kama haujabahatika kukutana nazo, zipo njema sana
Tyrant
Agent X
Treadstone
Deep state
The Punisher
Homeland
The Americans
The Event
Bodyguard
Mcmafia
Berlin Station... Nenda nayo taratibu hasa season 01,ila baada ya hapo hautajutia kifurushi chako
 
Shwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijichanganya siku moja mitaa ya Keko Toroli, nikakutana na mama Muba ana bonge la tak, kwa jinsi alivyo kuwa anazungusha ikawa tofauti na wale wengine, nikaweka kambi hapo. Kila jioni ya hamu najitokea Sokota nakula chocho la mzee Temba (baba yake Mheshimiwa Temba) huyo makaburini natokea Wapiwapi's bar.
Siku nikamkaba aeleze anawazungushia wangapi hivyo? Akajibu ananipenda na yeye ni mzaramo wala hajiuzi. Ilibaki hiviiii [emoji108][emoji108]nimuoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpya kaja juzi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Mkuu mwishoni umemaliza kwa huzuni kubwa,wanadamu tunapitia mitihani migumu ya kiimani, lililokatazwa ndilo lipendwalo kufanyanywa.
Mungu asituache peke yetu katika hili [emoji120]
Ndiyo. Ni huzuni. Enzi za Nyerere sera yake ya kuchanganya vijana. Mwaka wetu mikoa ya Shinyanga na Mara tulisombwa wengi tukaenda kumwagwa huko. Tena katika mojawapo ya shule bora kabisa enzi zile. Alale pema mzee Nyerere kiona mbali yule vinginevyo makabila mengine tusingesoma.

Kufika kule tukakuta utamaduni tofauti kabisa. Huku tulikotoka mpaka umpate binti wa Kisukuma aisee ulikuwa mtihani sana. Huko tukakuta tunaoga na mabinti wabichi mtoni vurugu mechi tu. Vijana walichangamka sana. Mwishoni huko baadhi yao wakaanza kuondoka. Hata waliotoka pale wazima nadhani waliondoka wakiwa wamebeba mizigo kwa sababu baadaye waliendelea kudondoka. Wengi mno. Very smart boys halafu. Huwa nasema kuwa kwa vile nilivuka kipindi kile salama basi sitakaa nijiunge kwenye gridi ya taifa labda kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Misambwanda nitaifaudu ikiwa kwenye sun dresses huko inazungushwa na si vinginevyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Daktari leo kazi anayo tena pevu...
IMG-20200728-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom