capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nmeskiza hiyo ya kwanza! Ila me si mpenzi sana wa nyimbo style hiyo.Mpya zipo nyingi
Wengi wanaipenda hii 1.NAKUTUMIA
2.Hujanitenga
3.lushiku
4.hapo mwanzo
5.limeandikwaje
6.yupo popote
7.sikuachi tena
8.sio bure
9.nitasubiri
10.mpiga kinanda
Naskiza sana mziki wa Note (Gospel) na Music style ya Gaither Vocal Band.
Mf. wake
.