Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ZENgRmVQcw.jpg
 
Unajua mama,kwa umri wetu huu ni kama tunapelekeshwa sana na haya mafanikio ya haraka na ndo tunapigwa vizuri sana.

Niseme tu usije ukafanya kitu kisa tu umekisikia mtu anakiongelea kifaida faida...
Shughuli nyingine zote nilizowahi kuteguka kiuno achana nazo maana nilishirikiana na wife, sasa nikapewa ushauri bar nifanye biashara ya daladala, sikumshirikisha mama chanja, huyo zangu Zanzibar Mwanakwerekwe huko kwa tajiri Ibrahimu... Nikajibebea Nissan car.. mbili, nikatia guu home kwa mbwembwe za kinyakyusa huku namtambishia msukuma wangu...akaniambia tu "ungejenga ungekuwa umefanya kitu cha maana sana" nikamjibu "nitajenga kupitia makusanyo haya haya"

Namshukuru Mungu bado nipo hai, hizo gari hata sijui ziko wapi... Nikipita barabarani ni jina tu limebaki kwa madereva "mzee AJ shikamoo,panda hii wewe boss wetu"
Hasara kubwa sana anko. Daima maneno ya watu huwa yana sumaku flan yaan unajikuta tu ushafanya maamuzi usiyoyatarajia. Pole anko
 
Back
Top Bottom