Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiku wa jotojoto
a63a1219-55b6-42c1-bb73-b5a394ecfb77.jpg
 
Ni kifo tu kitakacho nitenganisha na haya mambo... Ahsante Mungu hakuna dhambi katika hili... Ngoja nikaisome vizuri Warumi 15
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Siku nikiona msambwanda wa kufa mtu halafu nisipate furaha moyoni ndiyo nitajua kuwa nimezeeka na wakati wa kukaacha haka kasayari kazuri umewadia...
 
Aseee, Marekani wana hali baya sana
Mbaya sana. Na inazidi kuwa mbaya tu. Tatizo kiongozi yupo kama hayupo. Hakuna mikakati ya pamoja kama taifa bali ni kila jimbo linapambana kivyake. Rais mbovu anaweza kuangamiza taifa - haijalishi lina nguvu kiasi gani...na madola mengi yameanguka sababu ya kiongozi mmoja tu asiye na maono!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Siku nikiona msambwanda wa kufa mtu halafu nisipate furaha moyoni ndiyo nitajua kuwa nimezeeka na wakati wa kukaacha haka kasayari kazuri umewadia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom