Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeiweka makusudi. Ulikuwa ni mtego na umeingia mzima mzima. Mzee wa Mwakaleli naona alikausha tu [emoji16][emoji16][emoji16]Nimecheka sana, maana mzee wetu na miaka yako 75 lakini huyo class mate wako daaa, ni shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]