Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hiyo Warumi inakumbukwa baada ya zari kuwa lishatokea/tendeka. 😅 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalindwa na Warumi 14:1-3
Hiyo Warumi inakumbukwa baada ya zari kuwa lishatokea/tendeka. 😅 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalindwa na Warumi 14:1-3
Lazima uwe na vifungu vya kujitetea yakikukuta ya kukukuta [emoji1][emoji1][emoji1]Hiyo Warumi inakumbukwa baada ya zari kuwa lishatokea/tendeka. [emoji28] [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalindwa na Warumi 14:1-3
Hiyo Warumi inakumbukwa baada ya zari kuwa lishatokea/tendeka. [emoji28] [emoji28]
Lazima uwe na vifungu vya kujitetea yakikukuta ya kukukuta [emoji1][emoji1][emoji1]
Huwezi kujijua mwenyewe ila utajijua kupitia kwa wanao kujua.Family that's all matter, Vizuri sana kama mpo salama.
Ni Vinc mwenyewe hujamfananisha mkuu.
umenipa sifa nisizo stahili mkuu.
i wish I could be as you referred me
Gratitude mkuu
Ahsante shemeji [emoji120]
Kula ukipendacho shemeji. Maisha menyewe haya mzaha tupu sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]Ahsante shemeji [emoji120]
Huu udhaifu wa kula vinono nitaingia nao kaburini,nisihukumiwe kupenda futa. Mungu amenikubali [emoji120]
Sasa kama haukuwekeza mapema kulianzisha inakuwa ngumu sana. Kwahiyo mliongea tu mkaishiana hapo hapo?Huyu class mate alikuwa kimbaumbau. Mwaka juzi vu bin vu kukutana naye kafumuka kawa jimama dah! Tulisalimiana kwa muda mrefu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1519082
Ila aliye sema hata kunena ni dhambi ametukosea sana wapenda porojo [emoji1][emoji1][emoji1]Kula ukipendacho shemeji. Maisha menyewe haya mzaha tupu sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
Amen [emoji120]Ahsante sana kaka..Be blessed
Sufa na utukufu ni zake Muumba maana kanifanya niwe kinywa chake[emoji123][emoji123]
Mithali :2
6 Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima;Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;
Tuishie hapo? Mimi huyu? Hiyo picha nilipiga mwenyewe ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa kama haukuwekeza mapema kulianzisha inakuwa ngumu sana. Kwahiyo mliongea tu mkaishiana hapo hapo?
Ai wishi....
Ukiendelea hivi ukija kufikisha miaka 75 kama mimi utakuwa a walking Think Tank. Kwa kweli uko vizuri sana na una uelewa wa kina wa mambo mengi mbalimbali. Endelea kujisomea na kurutubisha hizo talanta zako bila kuchoka [emoji1545]Family that's all matter, Vizuri sana kama mpo salama.
Ni Vinc mwenyewe hujamfananisha mkuu.
umenipa sifa nisizo stahili mkuu.
i wish I could be as you referred me
Gratitude mkuu
Nguvu ya wajumbe imeacha maumivu makali kila konaWalimnyoosha sawa sawa. Siku ile alikuja hapa hata maK-Vant yake yamegoma kupita kooni kutokana na maumivu ya kupigwa na wajumbe....
Hahahahahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23]Mzee ho chi minh hakutia nia kweli? Amekuwa mpole sana kuliko hata JIRANI [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu class mate alikuwa kimbaumbau. Mwaka juzi vu bin vu kukutana naye kafumuka kawa jimama dah! Tulisalimiana kwa muda mrefu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1519082
Nimecheka sana, maana mzee wetu na miaka yako 75 lakini huyo class mate wako daaa, ni shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Tuishie hapo? Mimi huyu? Hiyo picha nilipiga mwenyewe ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1519095
Hii picha ni ya leo/jana kweli kamanda?Mapokezi ya Tundu Lisu yanaweza kubadirisha nguvu ya upepo View attachment 1519169