Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Watu wa Nyegez mna mambo, mnakuwa kama sisi wavuvi bana. 😁 😁Itakua sie wa burig via nyegez stand hatujui hayo mambo mkubwa[emoji23][emoji23]
Watu wa Nyegez mna mambo, mnakuwa kama sisi wavuvi bana. 😁 😁Itakua sie wa burig via nyegez stand hatujui hayo mambo mkubwa[emoji23][emoji23]
Aaah si bora mvuvi unabadilipo mitumbwiWatu wa Nyegez mna mambo, mnakuwa kama sisi wavuvi bana. 😁 😁
Duh..
Mitumbwi gharama, ooh! 😅😅Aaah si bora mvuvi unabadilipo mitumbwi
Umekuja fasta kuliko nyakat nyingine. Sio mbaya ntaendelea kukuita upate maarifa zaidiSasa tutafanyaje.?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwa kweli hawa wavuvi wenzangu hapa Nansio itabidi niwakomeshe na ka-selfie ka- New Terminal ya hapo mjini Dasalam! [emoji16][emoji16]... Habari ya uzima we Mlugaluga.
Hamna haja ya pole mama, maisha ya mtaani ni kama chuo tu, kuna sapu,kuna kukari na kudisko pia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hasara kubwa sana anko. Daima maneno ya watu huwa yana sumaku flan yaan unajikuta tu ushafanya maamuzi usiyoyatarajia. Pole anko